Ni hobby Tu kama zilivyo hobby nyingne napenda tu stori in short sio kama sina cha kufanya na sijakuomba hela, wewe sio chochote wala lolote kwangu peleka makasiriko yako huko na stress zako za maisha.Sina stress wala nini Nafanya tu kama sehemu ya kurelax
So kama hujapenda kaa kimya
THE OATH
Sehemu ya pili
Katika maeneo ya Ubungo maji nyumba ya kawaida tu ambayo ilionekana ya kupangisha, ndani ya chumba kimoja ambacho muziki ulikuwa ukipiga kwa sauti ya juu kidogo.
“Roby! Inatosha nimechoka nataka nipumzike kwanza jamani”
“Subiri kidogo bhana namalizia...
Sehemu ya kwanza
Katikati ya msitu mnene, giza zito likiwa limetanda kila kona ya msitu huo alionekana kijana akikimbia huku jasho likimtoka ni dhahiri alikuwa amekimbia kwa muda mrefu sana na alikuwa na hofu iliyopitiliza huku nyuma sauti tofauti tofauti zikimfuata kadri alivyokuwa akizidi...
SUMAYA FATE OF LOVE
SEHEMU YA TISA
“Lukas uwe na safari njema baba ila usisahau kuwa kuna mtu umemuacha huku”
“Sawa mama sitasahau namheshimu sana Sumaya hata na wewe mama siwezi kufanya hivyo”
“Sawa Sumaya Usilie mwanangu utaumwa hiyo ni safari tu atarudi”
Haukupita muda Lukas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.