Recent content by Monsgnor

  1. Monsgnor

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kodi ya VAT ikusanywe direct toka viwandani kupunguza upotevu wa mapato

    VAT haikua designed kulipwa na viwanda bali mlaji wa mwisho,hicho unachokisema wewe kikifanyika hakitakua VAT tena.
  2. Monsgnor

    JamiiForums Tanzania Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Kwamba kazi ya mhasibu ni kuandaa taarifa pekee?
  3. Monsgnor

    JamiiForums Tanzania Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Jitungie na wewe yako mkuu, huyo anaejitambulisha CPA wengine tunamtambua na tunaelewa nini anamaanisha.
  4. Monsgnor

    JamiiForums Tanzania Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Hebu fanya utafiti kwanza, na ka hujui uliza...ila usibishe vitu usivyovijua. Aliekwambia Kenya CPA haitumiki nani?
  5. Monsgnor

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Vatican wanakataa kumpa Uaskofu Padri Kitima baada ya kupata tetesi anataka kugombea ubunge kupitia CHADEMA?

    Kila anachokiongea Fr. Kitima kina baraka za kanisa na ndio maana mpaka sasa bado ni katibu mkuu wa TEC.
  6. Monsgnor

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? Ili Kuepuka Kuchanganya Dini na Siasa, Kuna Haja Waumini Tuambiwe Ukweli Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu?

    Mkuu kwa kukusaidia tu kama kweli wewe ni mkristo mkatoliki, nenda kajiulize nini maana ya neno la Mungu, ni mamlaka gani wanapewa makasisi wa kikatoliki pale wanapopakwa mafuta, ni mlaka gani tunapewa waumini pale tunapopakwa mafuta katika sakramenti ya kipaimara. Kisheria katoliki kwenye canon...
  7. Monsgnor

    JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

    Ndugu mchumi, nadhani hili sio eneo lako, hapa waachia CPA's. FS ni mjumuiko wa mapato na matumizi sehemu inayozaa faida au hasara, kuna sehemu ya Mtaji, Mali na madeni pia kuna sehemu ya mzunguko wa fedha( Cashflow)...Jifunze kwanza hivyo ukimaliza urudi.
  8. Monsgnor

    JamiiForums Tanzania Mohamed Ali, alipowaadhibu waliokataa kumuita Mohamed Ali

    The Godfather of harlem ina kastory flani hivi kanahusiana na hii.
  9. Monsgnor

    JamiiForums Tanzania Kwa Umafia huu mkubwa wa FA ya Mbeya, Ihefu FC wakisaidiwa na Watu wa Simba SC 'Unbeaten Record' ingeisha tu leo

    JF imekua ya kipuuzi sana siku hizi, watu wameigeuza fb, majukwaa tuliyokua tunapata taarifa serious na reliable siku hizi yamejaa story za kizushi hazina logic, hazina ushahidi. Unazungumzia kubadili uwanja huoneshi kanuni zinavyosema, unahusisha mambo ya Jezi huoanishi na kanuni. Na watu...
  10. Monsgnor

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Maulid Kitenge anahoji Kamati ya Saa 72 kushindwa kuihukumu Coastal Union, ila ya Yanga SC na jezi yake nyeusi hashangai

    Kwani utaratibu ukoje kikanuni, tuelimishane kwa anaejua?
  11. Monsgnor

    JamiiForums Tanzania Yanga SC yaingia mkataba na GSM wa miaka 5 kutengeneza vifaa vya michezo wenye thamani ya bil 9.1

    Dah!....hii nilikua siijui. Shukrani master.
  12. Monsgnor

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yamkamata kwa Mahojiano Taalib Karim Mbowe

    Takukuru inahusika vipi na ukwepaji kodi? Mbona sheria za TRA zimejitosheleza na zina mamlaka kamili ya kupiga fine na kushtaki.....Takukuru na kutakatisha fedha? Hivi takukukuru ni Taasissi ya kuzuia na kupambana na Rushwa? Hivi kutakatisha fedha ni rushwa?......mie sijui kwakweli.
  13. Monsgnor

    JamiiForums Tanzania Baada ya ukweli kuhusu sakata la Bernard Morrison 'Kuvuja', huenda Yanga SC 'ikanyang'anywa' alama zake na viongozi wake kufungwa na kukamatwa

    Unajua hata maana ya mkataba? Unajua hata kitendo cha kujiandaa kutoka ghana kinaweza kua ushahidi wa makubaliano, au wewe una deal tu na makaratasi...
  14. Monsgnor

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuache kutetea Ujinga: Kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama siyo sahihi

    Hata mimi napinga, lakini siku ukianza kupinga magari ya Serikali kuwekewa private namba na kutumiwa na Chama, wafungwa kupandisha bendera za chama, wafanyakazi wa umma wanaomlinda rais kuvalishwa sare za chama, na mgombea wa chama kutokupewa ulinzi wa umma na kutambulika kama raisi mteule kabla...
Back
Top Bottom