Recent content by monnie tonny

  1. M

    JamiiForums Tanzania Paper ya Tax management officer ii utumishi

    Wametoa maswali gani??
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tulioomba kazi TRA

    Yani pamoja na hayo iyo cutoff this time ni ya hatari wasingefanya hivyo tungekua 15,000
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tulioomba kazi TRA

    Mkeka umetoka jioni hii
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tulioomba kazi TRA

    Ni wengi sana tumekosa eh kua shortlisted[emoji16]
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tulioomba kazi TRA

    Bachelor of banking and finance,ila kama huna kigezo hata kuapply si hua inakataa inakutema mapema tu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tulioomba kazi TRA

    This time wengi tumekosaa....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tulioomba kazi TRA

    "Lacks relevant bachelor degree as per advert" How?mpaka imekubali ukapply na siku zote tunaitwa,leo imekuaje??
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tulioomba kazi TRA

    Habari za mchana wapendwa, kwa wale tuliiomba kazi TRA. Kupitia utumishi tumejibiwa ila hakuna mkeka wowote uliotoka kama tulivyozoea, unaingia kwenye portal unalogin utapata majibu yako kwenye "my application". Cha kushangaza sana wametoa sababu tofauti tofauti kwa kila mmoja kutokukidhi, au...
Back
Top Bottom