wew muongo wala hauna shida ya mke, bt wataka kufanya jokingi tu gapa, kwani kama ungekuwa na uhitaji wa mke hebu angali katika post zako, je! hakuna coment ambayo mimi nimekoment na kukuambia kuwa uje in box? je! ulikuja? au huyo mke unayemtaka wewe ni mke wa aina gani? JINI AU? ACHA KUZINGUA WATU
halafu huyu mimi nilimwambia aje inbox hakuja, sasa anataka mke wa aina gani? na unataka aliye sirious wakati wewe mwenyewe hauko sirious? ungekuwa sirious si ungekuja in box? ACHA KUJOKI WATU HAPA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.