Recent content by mong'o

  1. M

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Mwizi ni mwizi tu ndugu, hawezi ridhika...kama ameshaiba vyakutosha kama unavuo muambie akatulie ale hizo hela na sikutaka kuwaibia wadanganyika tena
  2. M

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Naona wewe ni kibaraka wa fisadi mamvi....eti he's the only hope na hana mkundi, yeye mwenyewe ni mojawapo ya kiongozi wa makundi makuu still unasema hana makuu.. I blv ur in a wrong forum...just for ur info, jamii forum is a home of great thinker but it seems like u can't think at all
  3. M

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Mnaangalia uchapakazi tu, vp intergrity? I blv mamvi kuwa rais would be the worst thing to happen in this country, ccm ikimteua mamvi uwezekano wa kupasuka ni mkubwa sana kwa sababu zifuatazo 1. Wapinzani wake kisiasa watakuwa above 70yrs kwa umri na kama mnavyojua akishapita miaka kumi uhakika...
  4. M

    SAKATA LA DOWANS: Wanasheria wamuunga mkono Jaji Bomani

    Hawa jamaa wananukuu gazeti gani? Nina wasiwasi kwamba hili ni gazeti la fisadi RA
  5. M

    UVCCM walaani Maandamano ya CHADEMA

    Huyu mtu hana akili kama baba yake, tatizo yeye na mwenzake malisa ni mbumbumbu wenyewe uwezo mdogo sana wa kufikiri
Back
Top Bottom