Recent content by moneyspills

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta wimbo wa Tazama ramani

    Kwani primary ulisoma shule gani? Unaweza kuimba ukajirekodi si mbaya! How To Sing High Notes
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Chokoraa

    dah! ni shdaa lakn yote ni mapito ya dunia inauma hasa kwa watoto km hawa. How to Learn To Sing On Your Own
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusiseme wanaofanya free style(hip hop) ni ma-genius?

    Mzima kweli wewe au ni bwakila ....hawa wavuta bangi ndo uwaite ma genious !! Google kwanza ili ujue genious ni mtu wa aina gani Voice Lessons in Singing
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ona hii unipe comments zako

    Mangi we mchaga wa wapi usiyependa rege Aiseee meku...sema maelezo yamejitosheleza How to Start Singing
  5. M

    JamiiForums Tanzania Diamond ashinda tuzo nyingine

    amekuwa msanii wa kwanza kutoka tz kushinda tuzo nchini burundi. Check it: https://www.youtube.com/watch?v=P1X0YQ9HMt4
  6. M

    JamiiForums Tanzania Series ya Kusikitisha based on true story

    Iwe ya ukweli? Hayo masharti yako magumu yatakufanya usipate msaada I came across this on youtube: https://www.youtube.com/watch?v=iTC6x7gYbpU
  7. M

    JamiiForums Tanzania Subwoofer v/s dvd home theater

    Pamoja na yote unapokuja kwenye hometheatre Sony ni bora kuliko Samsung,kwa maoni yangu pamoja na kuwa Samsung inaweza kuwa na vikoombwezo vingi usikivu wa muziki mzuri upo kwenye hometheatre za Sony,na kwa 1000 Watts kwa matumizi ya nyumbani itakuwa ni balaa,kwa Sony hometheatres hata ikiwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Album 10 bora katika historia ya muziki wa Bongo Fleva

    1. Nikupe nini by GK. 2. Machozi, Jasho na Damu by Pro. J 3. a.k.a Mimi by Ngwea. 4. Mkuki Moyoni by Afande Selle. 5. Nitakufaje by GK. 6. Binti by Jide. 7. Mwanafalsafani by FA. 8. Elimu dunia by Daz Baba. 9. Albam ya kwanza ya Dully (Jina limenitoka) 10. Ulimwengu ndio mama by J-Mo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Fiesta Bukoba: Wasanii wawasili bila Diamond

    hivi bado watu wanakwenda fiesta Here's a video to help you sing better: How to Access Your Head Voice
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kipi Sijasikia ya Prof. Jay Vs Mfalme ya Mwana FA

    Mziki mbali na ujumbe unahitaji radha na ndo maana wavuta bangi kama ney wanaimba pumba lakin kwenye club na vilabuni ukosi kitu nakula ujana. Si hao tu wako wengi fani imewatupa ila hajajishtukia. Here's a video to help you sing better:How To Perfect Your Singing Voice
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo Mpya wa Vitali Maembe - Vuma

    Kama una ile album yake yote iweke apa au nyimbo zake nyingine mana nlckia zipatikana free kweny mitandao ila nikisearch sizipati namkubali sana uyu jamaa japo hapati airtym ya kutosha Here's a video to help you sing better: How To Start A Singing Career
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ben Pol ni King wa R&B hapa bongo

    mbona unanchora ni mda tuu imetoka.. Kwa MIMI ukiniuliza msanii mkaree wa RnB jibu ni RAMA DEE TU! Here's a video to help you sing better: Vocal Exercises for Singers
  13. M

    JamiiForums Tanzania Fiesta 2014 na KTMA Tour, mbona kama mnashindana

    Kila kitu ni ushindani. Ni fursa kwa wasanii kupata pesa kubwa kwasababu fiesta italazimika kupambana na kili tour kwenye malipo la sivyo atakimbiwa na wasanii wote wazuri Here's a video to help you sing better: Music Classes Online
Back
Top Bottom