Recent content by Moneyman

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini chuo cha MUST Mbeya kinawafanya wanafunzi warudie mwaka wa masomo kwa sababu mifumo inasumbua. Hasa wa Diploma

    Nimeona niulize huku labda naweza pata msaada wa mawazo tofauti kwa watu wanaopitia hii changamoto. Nna ndugu yangu amesotea Diploma pale MUST Mbeya kwa miaka mitano badala ya mitatu na mpaka sasa hivi bado hajatoboa, na tatizo sio kufeli. Ni mifumo yao. Wanaambiwa mfumo umebadilika so mwalimu...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo: Nahisi naanza kupata depression

    Kweli mkuu
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo: Nahisi naanza kupata depression

    Hapa kuna kitu kaka. Ushauri wako ntaufanyia kazi
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo: Nahisi naanza kupata depression

    Mimi ni kijana, miaka 27. Ninaishi na kufanya kazi mkoani nyanda za juu kusini huku. Nina kazi nzuri na vibiashara vya hapa na pale vya kuniweka mjini. Nilikua na malengo mengi sana na swala la kuoa sikua nimelipanga kwa sasa. Sikua na uhusiano wowote serious. Mwaka jana mwanzoni kuna binti...
Back
Top Bottom