Recent content by Money Bags

  1. Money Bags

    JamiiForums Tanzania Toyota 1 HZ Engine & Gear Box For Sale

    Ya Hapa Hapa Dar…..Nlinunua Gari Kwa Mzee Mmoja Hivi Mtunzaji Sana. And So it was in mint condition. Gari Namba BTC. Engine Ya 1HDT nlipata kwa 12 M hapa hapa bongo.
  2. Money Bags

    JamiiForums Tanzania Toyota 1 HZ Engine & Gear Box For Sale

    Hi Husika Na Kichwa Cha Habari Nauza Toyota 1HZ Engine na Gear Box Yake Tsh Million 8,500,000 /= Engine nzima haina tatzo lolote ilikua kwenye Land Cruiser GX 105 nikabadilisha nikaweka 1HDT cz nimetaka niwe na turbo na mwendo. Engine & Gear Box Ipo Home, Mikocheni, Dar es Salaam for viewing...
  3. Money Bags

    JamiiForums Tanzania Hivi watumishi wenzangu mnawezaje kupata utajiri wa kuwa na mihela mingi!

    Mda Si Mrefu Analiwa Mtu Nnya 😆😆 Usitamani Maisha Ya Mtu Blo. Shaur Lako 😆😆
  4. Money Bags

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa Muislamu kama humpendi Isa (Yesu) au kumdhihaki

    Jibu Hoja Acha Wenge
  5. Money Bags

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa Muislamu kama humpendi Isa (Yesu) au kumdhihaki

    Surah Al-Baqarah (2:62) “Hakika wale walioamini na wale Wayahudi na Wakristo na Wasabai — ambaye aliyemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Kiyama na akafanya mema — mwenye thawabu yake iko kwa Molawake. Hakuna hofu kwao, wala hawatatunguika.” ➡️ Inatambua Wakristo kama Watu wa Kitabu waliomwamini...
  6. Money Bags

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa Muislamu kama humpendi Isa (Yesu) au kumdhihaki

    1. Yesu na Mungu ni Mmoja Yohana 10:30 “Mimi na Baba tu umoja.” (Hii ni kauli ya moja kwa moja ya Yesu kuonyesha kwamba yeye na Mungu Baba ni kitu kimoja.) 2. Aliyemwona Yesu amemwona Baba Yohana 14:9-10 Yesu akamwambia, “Mimi nimekuwa pamoja nanyi muda wote hivi, nawe hujanijua, Filipo...
  7. Money Bags

    JamiiForums Tanzania 1HD FT Used Engine Ya Land Cruiser Inatafutwa

    Kwema Wajumbe 😁 Husika na Kichwa Cha Habari, Nina Land Cruiser GX 105 yenye engine ya 1HZ ipo poa nzima kabisa haina tatzo lolote ila nataka kufanya an upgrade niweke engine ya 1HD FT then ni install intercooler ili gari iwe more strong and efficient. Hvyo natafuta used 1HD FT engine ya hapa...
  8. Money Bags

    JamiiForums Tanzania Trump: Nimemuokoa na Kifo kibaya kwa Ayatollah, Pia nimezuia maangamizi ya jiji la Tehran

    Aliyekuzidi Kakuzidi Tu, America (along Israel) is the greatest nation in the whole world mbali sanaaa. Was*ng€ wana run kila kitu dunia hii. Hao waajemi wanatapa tapa tu mara hatujalipuliwa mara tumelipuliwa. HaHaHa Kuna watu bado hawajui nguvu ya America ilivyo. Ongeeni mengine achaneni nao...
  9. Money Bags

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa biashara 15 zinazo tajirisha vijana nchini kwa sasa

    Ushuzi Mtupu Ielewe Mitaa Kijana.
  10. Money Bags

    JamiiForums Tanzania Waya wa umeme ukitumbukia baharini, umeme unafika mpaka wapi?

    Ikiwa nguzo ya umeme itaanguka na waya wenye umeme mwingi ukaangukia baharini: Ndiyo, umeme unaweza kuingia baharini. Bahari ina chumvi nyingi, hivyo ni msafirishaji mzuri sana wa umeme (good conductor). Lakini nguvu ya umeme haitasambaa baharini yote kama maji ya rangi, bali itasambaa kwa...
  11. Money Bags

    JamiiForums Tanzania Binti yangu umri wa miaka 5 mbishi hataki kutumwa, kwenda shule asubuhi hataki

    Tembeza Stick Anarudi Relini Huyo Mbona. Mzazi kuna vitu lazima uwe strict at the same token mtoto asikuogope kupitiliza pia. Kuna vitu mzazi make it clear ni YES / NO and Why. Atakaa sawa, kemea on the spot akifanya ujinga. Mchape kulingana na umri wake (but don't make it often hadi pale...
  12. Money Bags

    JamiiForums Tanzania Binafsi nimeguswa na funga ya wakristo kipindi hiki cha kwaresma,Funga yenu haina kelele Wala majisifu

    Huna Hoja......Mnamuombea mtu amani kila siku hamna uhakika alipo ??
  13. Money Bags

    JamiiForums Tanzania Binafsi nimeguswa na funga ya wakristo kipindi hiki cha kwaresma,Funga yenu haina kelele Wala majisifu

    1. Yesu ni Mungu na Mwanadamu kwa Wakati Mmoja Katika Ukristo, Yesu anafahamika kama Mungu aliyefanyika mwili (Yohana 1:1, 14). Hii inamaanisha kwamba Yesu alikuwa na asili mbili: • Asili ya Uungu – Kama Mungu, Yesu ana uwezo wote, anajua yote, na yuko kila mahali. • Asili ya Ubinadamu – Kama...
  14. Money Bags

    JamiiForums Tanzania Binafsi nimeguswa na funga ya wakristo kipindi hiki cha kwaresma,Funga yenu haina kelele Wala majisifu

    Yesu alifunga siku 40 kwa kusudi la kipekee, lakini hakuagiza Wakristo kufunga kwa namna ileile. Badala yake, aliwahimiza kufunga kwa dhati, kwa moyo safi, na kwa uongozi wa Mungu. Ndiyo maana Wakristo hufunga kwa njia tofauti, kulingana na uelewa wao wa kiroho na mazingira yao. Yesu alifunga...
  15. Money Bags

    JamiiForums Tanzania Kutoka Juice ya Miwa mpaka Magari 100 ya Mbao – Safari ya Mafanikio ya Chempa!

    Lorry 100 unazijua wewe in a span of 10 years ?? Tuodolee upuuz.i hapa. Madogo mnachukulia kila mtu fa.la. Nawajua watu kibao wameenda mafinga kujitafuta for over 10 years....wana hela ndio ila sio kwa ukwasi huo. Achana na huyo yupo mzee mmoja namjua ana mzigo mbayaa anafanya hyo biashara for...
Back
Top Bottom