Recent content by mondrian

  1. M

    Single mamas jamani mpooo?

    Unafikiri wanafurahi kuwa single maza....wanatamani kuolewa tena kwa kuibiwa bila posa wala mahali..... Wao wenyewe wanafahamu kuwasingle mother ni kushuka heshima halafu unawataka wajiexpose ili iwejeee!!!!!!!!🤣
  2. M

    Kwa nilichokiona, Wanaume kuweni makini na wanawake wenye watoto

    Bora wewe....umemtaja sister angu.. Thanks alot🙏🙏
  3. M

    Huwa inatokea unamchoka mtu kimapenzi

    Mnaochokana hamuotagi majini mahaba kweli.
  4. M

    Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

    Hakuna sayansi ila ni dhana tu broo...hapo kinachotokea ni function of centra nervous system....which draw away a victim's body unconsciously from danger.....sasa hapo kwasababu hatujasoma mifumo ya fahamu ya mwili inayorespond the external stimulii.......tunasema tu hivi Nimerushwa na umeme...
  5. M

    Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

    Hii ni Kwa ajili ya kunasua mtu kashikwa na umeme wenye voltage kubwa(UMEME KAUSHA MAJI) wa kwenye nguzo za umeme.....ila umeme wa nyumbani unashika na kukuachia kwa msukumo wa low voltage(UMEME USIMSHIKE UKIMSHIKA TUPA KULEEEE)
  6. M

    Faida za kuathirika na HIV (UKIMWI

    Uzi umenifunza kitu....
  7. M

    Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

    Wewe acha tu! Nilirushwa na umeme nikatua kule na kubiringita mara 3.....i actually experienced a push from electric shock..... Umeme unarusha sio dhana....haijakukuta tu usingeweka uwo uzi.
  8. M

    Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

    Basssi mke wangu akisafiri namtuma ndogo wake wa kiume amlinde...bodyguard.
  9. M

    Nawezaje kujitoa katika mahusiano ya zamani?

    ushauri gani huo? grow up you mrs!
  10. M

    Katika kuelekea safari ya kuoa maoni nayo kutananayo

    Sio kila mtu anaweza kuchagua mke wa kuoa....inahitaji busara ya wazee.
  11. M

    Hii Kauli "Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke" huwa ni ya uongo

    Wanaume wengi mitaa kwangu wamerudi nyuma kimaisha kwasababu ya kushirikisha wachumba au wake zao kwenye maswala ya biashara zao......WANAWAKE NI WABINAFSI(sio wote).....hawakujali maisha ya mwanaume kuwa yatarudi nyuma......WANAWAKE MA MATAPELI(sio wote)wanajua kuigiza upendo wakiona una...
Back
Top Bottom