Recent content by mondichodiswala

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya upungufu wa nguvu za kiume jamani

    Ni permanent treatment au ntahitajika kurejea tena kila nkitaka kufanya?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    Nipatie iyo nipone
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kuuza matikiti yangu?

    Tegeta huku wananunua.. But hadi ulete menyewe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Kigamboni DSM

    Nataka rum sebule & choo kibada.. Uwez nipea?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba Kigamboni au Kibada

    Ubungo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba Kigamboni au Kibada

    Iwe chumba na sebule.. Choo ndani Maji yawepo Fensi. Tiles & gypsum Luku ya kujitegemea..
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Kama una swali lolote kuhusu mapenzi uliza

    Naruhusiwa Ku date baa maid?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba kwa ajili ya kilimo cha bamia & matikiti

    Kule Mwasonga nlienda nkaanzia serikal za mitaa.. Bcoz Mi mgeni. But yule menyekiti nae Bure kabisa.. Kaniunganisha na dalali mzembe hata hajui iko kilimo.. Akaishia kuniambia hakuna mashamba..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba kwa ajili ya kilimo cha bamia & matikiti

    Nataka kufanya hiki kilimo but nimepata changamoto ya kuipata eneo. Mi naish DSM nlienda kule Kimbiji Kijaka.. But nlishauriwa hakuna rutuba na kilimo ni challenge kidogo. Nikashauriwa niende Mwasonga. Near by dar zoo Uko Uko Kigamboni. But wenyeji wa kule hawakunipa ushirikiano wa kutosha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

    Kama Iyo ni picha yako kwene profile. Nimekulavu naomba uwe my love wangu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Katika hospitali kuna matibabu ya upungufu wa nguvu za kiume? Achilia mbali Hawa wa tiba mbadala na wale wanaoshauri mazoezi na lishe. Nauliza hii field ktk hospital zetu ipo na inatibu wenye tatizo hilo?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ku ejaculate wakati unajisaidia haja kubwa

    Noted kaka. Kuna tetesi nliskiaga eti ukiona hivi ujue ni dalili ya tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.. Kuna ukweli apo?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ku ejaculate wakati unajisaidia haja kubwa

    Thank u kijana.. Nimekupata vyema kabisa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ku ejaculate wakati unajisaidia haja kubwa

    May be ni kweli.. Manake nna miaka 3 sijafanya sex Na Ata ivo sinaga mazoea ya kusex nasubiria ndowa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ku ejaculate wakati unajisaidia haja kubwa

    Apana situmii dawa
Back
Top Bottom