Recent content by MonaBella

  1. M

    Baraza Jipya La Mawaziri hili hapa

    I am not overly excited, but I believe this is a good start. 1. Kwanza amewatoa Meghji na Mramba. Mramba amekuwa mzigo kwetu kwa miaka mingi sana. Meghji anahusika na sakata la BOT. 2. Wananchi wamelalamika sana kuhusu ukubwa wa serikali, na imepunguzwa kiasi. 3. Kwa kifupi mafisadi wengi...
  2. M

    Baraza la Mawaziri Limevunjwa! (2008)

    Kipanya huyo
  3. M

    Baraza la Mawaziri Limevunjwa! (2008)

    Why MEMBE?? Amefanya kitu gani cha ajabu au cha muhimu kwa Tanzania? This guy seems like the most inefficient minister ambaye anabebwa na JK kwa ajili ya urafiki wao wa siku nyingi. Hatutaki PM mpya awe swahiba mwingine wa muungwana, tunataka mtu mchapakazi na asiye na unafiki.
  4. M

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    I agree with you. ripoti imesema kabisa kwamba bwana mkubwa ni PM, na mshirika ni Rostam. Rostam Rostam Rostam - hili ndilo fisadi kuu, kama Lowassa ni kichwa, Rostam ndiyo engine. Inabidi awajibishwe ipasavyo. tukimalizana na Richmonduli inabidi kuanza kumshughulikia Chenge, Yona, na swahiba...
  5. M

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Swali langu kubwa kwa Kikwete ni kwamba - Je hakuyaona haya all this time? haya mambo yameanza since 2006. Wananchi na magazeti wamepiga kelele since 2006, yeye kama kiongozi aliyechaguliwa na watanzania alikuwa wapi? au aliamua tu kuangalia upande mwingine? Kama angeyashughulikia haya mambo...
  6. M

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Hii ni hatua kubwa kwa Tanzania. Ingawa Huko kujiuzulu kusiwe ndiyo their way out of this mess. Inabidi wananchi tupige kelele mpaka hawa mafisadi wahukumiwe kama wahujumu uchumi, na pia wafilisiwe mali zao zote. Mbona wezi wadogo huwa wanapigwa na kuswekwa jela? kwa nini iwe any different...
Back
Top Bottom