Recent content by Mona weito

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu aliyepata kuwa Waziri Mkuu ni vigumu kuwa rais wa Tanzania?

    Unajua bwana uwaziri mkuu ni nafasi nyeti sana,performance yako inaonekana moja kwa moja,hebu fikiria pinda kabla ya uwaziri mkuu,wangapi walimfahamu? Angekuja kutoka huko alikokuwa na kugombea urais angepata kirahisi kwani ana maneno ya uraghai na unafiki. Tungempa bila kujua.Uwaziri mkuu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu aliyepata kuwa Waziri Mkuu ni vigumu kuwa rais wa Tanzania?

    Binadamu ana hulka ya kutaka kupata kitu kipya, wewe mbona una demu wako lakini unatafuta mwanamke mwingine wa kuoa?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ndani ya kipindi cha mkasi EATV, Jumatatu - Agosti 25, 2014

    Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia mienendo,falsafa na hata uzalendo wa mh.Zitto,nashawishika kuamini kuwa Tanzania tumepata nyerere mwingine. Tuna imani name wewe zitto na ninawaomba watanzania wakuunge mkono kupitia Cdm ili utufikishe kwenye Tanzania tuitakayo. Nikuhakikishie kuwa bado una...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dan Makanga, DC Kasulu ajipanga kugombea ubunge Bariadi Mashariki

    Wewe ndo mkabila namba one pambafe.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dan Makanga, DC Kasulu ajipanga kugombea ubunge Bariadi Mashariki

    Wameshtukiwa na nani? Ccm mnawaogopa sana ukawa. Mnahaha huku na kule kutuliza mawimbi ya ukawa. Hakuna dawa zaidi ya kujadili rasimu ya waryoba.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dan Makanga, DC Kasulu ajipanga kugombea ubunge Bariadi Mashariki

    Shangaa!!!!! Na musoma ipo Kilimanjaro?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dan Makanga, DC Kasulu ajipanga kugombea ubunge Bariadi Mashariki

    Habari za uhakika ni kwamba,DC wa kasulu mh.Dan Makanga anatarjia kuingia kwa mara nyingine kwenye kinyang'anyiro cha ubunge kwenye jimbo la John Cheyo- Bariadi mashariki kwa tiketi ya Ccm. Jambo la kujiuliza,ana mini jipya huyu Mzee kama wilaya tu ya kasulu imemshinda? Au amechuma vya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuwania tena uenyekiti CHADEMA

    Nadhani mbowe amekitumikia Chama vya kutosha,awache wengine ndani ya Chama wenye maono na mawazo mapya wakisogeze Chama mbele zaidi ya hapo kilipo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wazifanyie kazi tuhuma za Mchange dhidi ya viongozi wa CHADEMA

    Wewe unatumika vibaya sana bwanaAboubakar,Siasa ni mchezo mchafu sana,utatumika tu kama kondom na kutupwa chooni. Sikulaumu,njaa mbaya sana. Kijana kama wewe kushabikia upuuzi na kuungana na wajinga kupotosha umma,unatia huruma. Siasa za siku hizi zimekuwa za akiri sana, si rahisi mtu mwenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu yakanusha JK kuhojiwa na Obama

    Wizi kwako ndio internal affairs? Nyambafe wewe.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Slaa wake wameshindwa uongozi

    Watu wengi wamemfahamu Dr. Slaa kwenye uchaguzi 2010.Akatoa changamoto iliyokuja name msamiati "Chakachua matokeo".Sasa huoni kuna haja ya kusubiri uchaguzi 2015 ili tupime ameporomoka au la? Mrema tulimpima kwa chaguzi zilizofuata, lipumba halikadharika, iweje slaa tuanze kuaminishwa kabla ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Slaa wake wameshindwa uongozi

    Watu wengi hasa wafuasi wa ccm wanatumia nguvu nyingi kutuaminisha kuwa Dr Slaa ameporomoka kisiasa, wanalinganisha sasa na lini? Maana Dr.Slaa aling'ara wakati wa uchaguzi,na sasa uchaguzi bado,unalinganisha sasa na lini? Je ni kweli ameporomoka au ni uoga wa ccm juu ya Dr. na hivyo...
Back
Top Bottom