Recent content by momboka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Jaman magu hali si nzuri watoto wanafunz wametapakaa mitaani nimetembelea shule za magu mjini nyalikungu,itumbili,magu sec,itumbili sec hakuna walim kabisa shule zimefungwa . source mimi mwenyewe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara Mwikabwe Mbaroni kwa mauaji Singida

    sasa sijui kama alieyeua atakuwa amekodishwa toka uganda au alikuwa anaenda ungama? Hiyo ni kutokana na fitna za mwigulu kutuma watu wakafanye virugu ktk mkutano wa chadema.wmkamate tena kwanza mwigulu.
  3. M

  4. M

    JamiiForums Tanzania TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    ni upepo tu,na hili litapita
  5. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe amgomea OCD - Wananchi wakachachamaa, OCD akatoweka

    kazi ipo hapo tatizo palisi wa tanzania shule hamna ndo maana kila jambo wanafanya kwa kushurutishwa,promotion yao inategemea na maagizo toka kwa baba riz
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania!

    umepewa sh ngapi? na lowassa umsafishe?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania!

    umepewa sh ngapi na lowassa umsafishe.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete asoma mwelekeo wa upepo, aruhusu mjadala wa Muungano kiaina.

    kama washaur wake ni wakina nape,wasira, mwigulu unategemea nn?
  9. M

    JamiiForums Tanzania CCM yaiteka Songea (picha)

    Mbona sura hazina ma2main
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lema kuandaa maandamano makubwa jijini Arusha

    lema nanikumbusha steve bicco,jamaa ni mtu wa action sana, na ni aina ya viongozi ambao wanatakiwa katika kuongoza mapinduzi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lema kuandaa maandamano makubwa jijini Arusha

    lema nanikumbusha steve bicco,jamaa ni mtu wa action sana, na ni aina ya viongozi ambao wanatakiwa katika kuongoza mapinduzi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, kwa hili, kachemka

    lisu yupo sahihi 100%,tatizo ni muungano hapo hakuna lingino,zanzibar ni taifa la kislam na wakristo ni wakuja,hivyo wanachoma makanisa ili kuwaondoa wabara wabaki na zanzibar yao,zanzibar komaeni mpaka kieleweke,hakuna ugaidi ukiwa unadai haki yako
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, kwa hili, kachemka

    lisuu ypo sahihi kabisa na wasipo wapo zanzibar yao ipo siku uamsho litakuwa kundi la kigaidi,tatizo serikali ya ccm haiwezi kuona jambo bila ya mashinikizo,suluhisho hapo ni muungano tu kuvunjwa.
Back
Top Bottom