Recent content by Mom Cleo

  1. Mom Cleo

    Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

    Ulikuwa wapi kusema mapema kabla ya kifo chake...amefariki ndo unaanz kusema upuuz,Kama ka foj na ww fanya ivo tuone[emoji6]
  2. Mom Cleo

    Biashara Makuru Dodoma

    Haifai mkuu? Au unamaana gani?
  3. Mom Cleo

    Biashara Makuru Dodoma

    Asantee mkuu
  4. Mom Cleo

    Biashara Makuru Dodoma

    Habari! Kwa wanaoishi maeneo ya Makuru hapa Dodoma, naomba kujua Kama ni kunafaa kwa biashara ya pombe kali kama konyagi, k vant, blak Gn na kuendelea za kupima lakin, je hilo eneo linafaa kwa biashara hio? Au Kuna biashara tofauti inayofaa zaidi eneo hilo? ASANTE[emoji1616]
Back
Top Bottom