Recent content by Mologolo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

    Dogo anatia huruma sana, ni project iliyoshindwa kabla ya kuanza. Eti mama usiende kuchukua fomu, ila kuna muda namuona kama dishi limeyumba
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

    Kuna muda hoja zetu zinatia aibu. Hii ni nini sasa?
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 David Silinde: Samia ukipata kura chini ya 95% unipige bakora mbili

    Samia ni maji usipokunywa utaoga. Wanaompenda na wasiompenda wote wanafuatilia kampeni kwa umakini mkubwa. Samia mitano tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzalendo wa kweli, msijibu threads zinapomponda Polepole, naona zinamiminika. Just ignore them with no response

    Hivi mandate ya kujibu watu ipo kwa member wa zamani tu? Narrow minded! Tutajibu tu, na mwisoni tuakua expart kama nyie.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

    Huyu naye haeleweki kila siku ana agenda mpya, asituchoshe
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hotuba za rais Samia kwenye kampeni za CCM zinasisimua na kuamsha matumaini, ari na shaku za wananchi wengi zaidi kupiga kura Oct.29.2025

    Halafu kuna mjinga flani yupo anadai ametumwa na wananchi kubwabwaja mtandaoni!!! Wajameni tafuteni kazi za kufanya sisi tupo sana na mama Samia. Sema nini Mange na Slowslow wote wapo kwenye payroll kimpango wao. Uchaguzi ukipita wataendelea na isssue nyingine
  7. M

    JamiiForums Tanzania Polepole - Hii kauli yako umeitoa wapi kwenye Biblia?

    Hamjamjua bwana Polepole, kinachomfanya aongee yote hayo sio uzalendo bali ni kukosa alichokitaka kwenye CCM. Roho yake imejaa visasi na chuki kwa wote waliopo madarakani, hana ajenda kubwa ya kuwasaidia wananchi anachojali ni kupambana na anaowaita wahuni. Katika mazungumzo yake ni kama CCM...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

    Nani anayo namba ya Coy Mzungu, kuna mtu ana kipaji, cha kuchekesha....... Naimba tu mkuu, usipanik wala nini!!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Kama ni urongo basi mengine yote anayosema bw. Polepole ni urongo. Unadanganyaje umma kwa confidence kiasi hiki. Polepole ni muongo tuuu!!!!! Period
Back
Top Bottom