Recent content by mokolanyangi kumugi

  1. M

    Uchaguzi mdogo jimbo la kalenga

    Wananchi wa jimbo la kalenga tunawatakia lalasalama katika uchuaguzi mnaotarajia kufanya mwishioni mwa wiki hii. Lakini maombi yetu kwenu ni kuchagua mbunge bora na si mbunge mzigo kwa manufaa ya maendeleo ya watu wa kalenga na tanzania kwa ujumla.
  2. M

    Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

    mzee kajifanyisha tu ili apigiwe kura za huruma
  3. M

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

    Makamanda mlioko huko dodoma tafadhali tujuzeni mambo yanavyo endelea hapo mjengoni. Waheshimiwa gani walochukua fomu ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa kudum wa bunge maalum la katiba?
  4. M

    Hawa ndio walimu wetu wapya

    we kweli nunda, sasa ulitaka watake wadogo zako wa kiume ndo ufurahi?
  5. M

    Hawa ndio walimu wetu wapya

    jamani waacheni walimu wa jakaya mrisho kikwee
Back
Top Bottom