Recent content by Moi aussi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

    Wapenda chips kuku wanapata ofa kwa siku moja then wanawajibika maisha yao yote kulea kwa maumivu. Nan alikwambia kuna bure dunian
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

    Msikitikie mwanao baada ya miaka mitano si rizk tna, maana virutubisho vitakuwa vimeshafanya kaz yake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada wa kisheria

    Kuna jambo linaniumiza Kichwa sana. Baba yangu alikufa 2014, babu yangu(baba wa baba yangu) akafa 2021. Inasadikika muuaji ni mwanafamilia mshirikina; lkn hapa nataka kuleta hoja nisaidike. Babu aliacha mali nyingi, mshukiwa amejichukulia mamlaka ya kujigawia mali za babu na kumpa yeyote...
Back
Top Bottom