Ni ndefu kidogo:Kwa Wapambanaji Wote.UKUTA uanze kujengwa kwako na Patna wako kama Mandela,Odinga,Bhutto,Martin Luther ,Obama,Bill Gates ,Clintons n.k.
Usipompata au usipomuelewesha "My Dream,Our Dream au Your Dream,Our Dream"-Kazi Ipo.
Ukikoswa kuhongwa cheo,fedha kuna hatihati ukapatikana...