Recent content by mohkova

  1. mohkova

    Nishaurini fridge gani linaweza kua zuri na lisilokula umeme sana la dukani au mtumba

    Jamani naombeni ushauri nina biashara ya juisi nataka kununua fridge, nishaurini fridge gani linaweza kua zuri na lisilokula umeme sana la dukani au mtumba, ya mtumba bei yake ni affordable naombeni ushauri
  2. mohkova

    Ni aina gani ya friji ya mtumba ni imara na nzuri

    Vipi kuhus friji za toshiba milango mitatu hiyo ipo vzur na n energy saver au sio nipeni ushaur nataka kununua
  3. mohkova

    Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia haja kubwa. Je, ni tatizo gani hili?

    Na mie yamenikuta wadau nimepatwa na shida nlipata choo kigumu baada ya hapo nkienda choon napata maumivu makali sana japo nimeanza diet ya mboga mboga na matunda na maji mengi lakn naona bado hali n tete imefkia had choon napaogopa maan ukifka hapatoshi n maumivu makal wakat wa kunya na...
  4. mohkova

    Nitoeni ushamba na jiko la gesi

    Nikitoa burner gas haitoki kwa iyo siamin kama tatzo n mchanga kaka ingekua mchanga ingekua inatoka ata kam nkitoa burner
  5. mohkova

    Nitoeni ushamba na jiko la gesi

    Kumbe hapo shda n burner mbovu sio ? Niljua nakosea kufunga
  6. mohkova

    Nitoeni ushamba na jiko la gesi

    Wanajamvi nina jiko langu la gesi la mtungi mdgo linanitesa ,, Nilikuwa napika likagoma kufunga gesi inatoka mfululizo ukizungusha kufunga inazunguka tu bila kuzima nikaamua niitoe burner kabsa ,nikajarbu burner nyingne kuweka tu gesi ikaanza kutoka kwa kasii ukipunguza wala kuizima haikubali...
  7. mohkova

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Kama ulipata ufumbuzi wa hili tatizo naomba unisaidie ulifanyaje nisaidie ndugu kwa no 0621446834
  8. mohkova

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Tafadhal ndugu msaada wako najaza taarifa zangu za kwenye vyet vya sekondari kila kitu kipo sahihi lakn inaniletea maandish NECTA CANDIDATES PARTICULARS DOES NOT MATCH naomben msaada wenu nimetingwa sana na bado sku 1
  9. mohkova

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Ulifanyaje mkuu ikakubal mie pia nina hilo tatzo naomben msaada wenu wadau
Back
Top Bottom