Recent content by Mohamedi Likoko

  1. M

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Mbunge wa jimbo la mbulu bw mustapha akonay ameangushwa kwenye kura za maoni zilizofanyika leo mjini mbulu na kura zake hazikutosha kupeperusha bendera ya chadema katika uchaguzi mkuu ujao, hata hivyo mbunge huyo amekubali matokeo na kukiri atamsaidia mgombea aliyechaguliwa ili waweze kupata...
  2. M

    ACT - Wazalendo yavuna wanachama lukuki Morogoro

    Chama cha ACT - WAZALENDO leo kimevuna wanachama wapya takribani 83 katika kata mbili, ambazo ni Mafisa (52) na kata ya Mji mkuu (31), katika operesheni hiyo maalum ya kuhakikisha kata zote 29 za jimbo la morogoro mjini zinachukuliwa na chama cha ACT - WAZALENDO ni muendelezo wa mikakati ya...
  3. M

    ACT Wazalendo wamefungua Ofisi Morogoro

    Ndugu wanachama, wakereketwa, wapenzi na wafuasi wote wa chama kipendwa cha ACT WAZALENDO mkoani Morogoro tunapenda kuwataarifu kwamba chama chetu turufu kimefungua ofisi ya kisasa maeneo ya Boma road karibu na ofisi ya chama wananchi CUF, Karibuni sana kwa wanaoitaji kadi, wenye maswali na...
  4. M

    Ziara za ACT - Wazalendo kutikisa nchi

    vua GAMBA, vua GWANDA kisha vaa UZALENDO
  5. M

    AIRTEL, VODA Mkome kudhalilisha dada zetu..!

    mbuzi hula urefu wa kamba yake.
  6. M

    jumba linauzwa kariakoo

    iko mtaa gani! na inauzwa hela ngapi!
  7. M

    Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

    ZITO KWANZA chadema baadae, zito ni kiongozi wa umma na sio kiongozi wa wachaga
Back
Top Bottom