Recent content by mohamedi abdul

  1. mohamedi abdul

    JamiiForums Tanzania No Money, No job in Acacia Gold Mine

    Kidogo hali imeanza kuwa shwali kutokana na uwazi wa mahojiano live
  2. mohamedi abdul

    JamiiForums Tanzania No Money, No job in Acacia Gold Mine

    Sante sana bwn p.majaribu ntaenda shule ila ngoja tumalizie onyo kwa hawa wachache waliobaki.
  3. mohamedi abdul

    JamiiForums Tanzania No Money, No job in Acacia Gold Mine

    Nimeamua kuingilia kati swala la rushwa katika upande wa ajila Acacia Bulyanhulu nikiwa kama mwenyekiti wa wazawa katika vijiji vinavyo zunguka mgodi naa mini viongozi wote wa Acacia mpaka Rais wa Acacia mnanifahamu vizuri utendaji kazi wangu katika kupigania haki ya maendeleo ya wazawa kupitia...
  4. mohamedi abdul

    JamiiForums Tanzania No Money, No job in Acacia Gold Mine

    Kwa yeyote ambae ameombwa hongo ili apate kaz sasa manager wa acacia bulyanhulu ametoa mawasiliano kila kijiji kwa yeyote mwenye vidhibitisho vya kuombwa rushwa apige simu kupitia no hizo za simu ili muhusika awajibishwe sasa tunafuraha kwa program hiyo ss wana bulyanhulu.
Back
Top Bottom