Naomba ushauri zaidi kuhusu kozi ipi bora Kati ya pure education na with education kwa mwanafunzi aliemaliza kidato cha sita na kupata division 3 ya point 13 PCB akiwa na ufaulu wa Physics D, Chemistry D,Biology E, Bam E na Gs F
Na je mtu aliepata div 3 point 13 PCB . Physics D, Chemistry D, Biology E , Bam E Gs S anaweza kusoma nn chuo na je anaweza pata mkopo kwa ufaulu huo?? bukedde
Na je kwa mtu huyu aliepata division 3 point 13 phisics D, Biology E, Chemistry D, Gs S, Bam E anaweza kupata chuo na mkopo? Je ni course gani anaweza kusomea? Naomba msada wakuu
Pamoja kiongozi noted ushauri wako family zetu ndio hizo hizo za kimasikini ila tutajikwamua tu ili mradi dogo apate mahitaji muhimu kwa faida ya maisha yake. Ubavu
Ubavu kiongozi nimekuelewa Sana kijana ni Wa kiume pia hana kabisa mambo ya kijingajinga ya kupoteza muda. Ulimaliza mwaka gani hapo mtwara Tech? maana mpaka sasa naona memory yote ipo kichwani Kama vile bado unasoma hapo. Na vp kuhusu facilities Kama vitabu vya biology, physics na chemistry...
Mkuu Ubavu umegusa sehemu yake nilipokuwa napataka na mm nina mdogo wangu kachaguliwa comb ya PCB mwaka huu hapo hapo Mtwara Tech kutoka O level ana division 2 ya point 19 shule ya kata ana BCB kwa masomo ya PCB. So naomba unishauri kuhusu hii shule maana nilikuwa nataka nimchukulie uhamisho...
Acha uoga kijana endelea kupambana na PCB hakuna kinachoshindikana ukimuweka mungu mbele na kupiga msuli kwa bidii hope matunda utayaona mbeleni kuliko kukata tamaa sasa. Kwani hata huko chuo unapotaka hamna urahisi kihivyo bila ya kukaza napo utaona mauzauza tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.