Recent content by MOHAMED OMARI TUPPA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Muswada wa kuzuia Maandamano nchini waja...

    Huu ni ukandamizaji wa demokrasia,na uhuru wa binadam,mambo yenu ya kutunga kila mnachowaza majumbani kwenu mnakileta kiwe sheria,dawa ya kuomba haki ya mtu au kundi la watu ni maandamano,mfanye ukandamizaji wenu watu wakidai haki eti wanahatarisha aman,hii sheria wanataka ije kutumika zaidi ktk...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

    Tunataka vyombo vyake vya usalama viache kufanya kazi za kisiasa zaidi na kutumiwa na wanasiasa zaidi kwa manufaa ya vyama,wanapenda kujihusisha kukamata vijana wanaojitafutia riziki zao kihalali(bodaboda) ili kupata kujiongezea kipato cha haramu,wanaacha kufanya doria na kukaa maeneo ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anti Bilali: Huu Ushoga wangu nilirogwa, mwenye dawa anisaidie

    endelea tu,ila utaenda ona mungu kama umerogwa
Back
Top Bottom