Khaaaaaaa hizi comedy nyingine sasa hata kama zina ubora utanilazimisha niangalie bongo move ikiwa sitaki huwez kuingilia uhuru wa mtu kwa kupenda kitu ambacho ni chaguo lake
Me binafsi kwa kweli pia nashangaaa how come mungu atuadhibu au tule msoto kwa ajili ya kosa lililofanywa na watu wengine ikiwa mungu alishasema kila mtu atasimama yeye kama yeye hakutakua na biashara ya kusema kama nimeponzwa na flani hii bado ina utata kiasi flani
Home sweet home jaman ingawa zote ni harakati za kutafuta maisha ila kiukweli hivi visa vimekuwa vingi sana kuhusu hawa wenzetu wa ughaubuni kututendea unyama kila kukicha na tuangalie namna nyingine za kutafuta maisha hiii imeshakua changamoto kwetu sasa rest in peace dada yetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.