Recent content by Mogu

  1. M

    PhD za Mwenge University zinatambulika wapi?

    Jordan University College,wanatoa PhD zifuatazo: 1. PhD in Philosophy 2. PhD in Theology 3. PhD in Education Acha ushamba wa kukariri vyuo kisa ni maarufu. Kwahiyo wewe Juma, unataka nchi nzima iwe na vyuo vyako hivyo ulivyovitaja tu? Akili au Matope? Dunia nzima inajua ubora wa elimu wa vyuo...
  2. M

    Kwa mara ya kwanza nimebahatika kulala na msanii wa bongofleva

    Mkuu kwani Wewe unatokea Mpwayungu kule Dodoma kama unaelekea Mloa au Mpunguzi???
  3. M

    Accelerator Kukwama kwama

    Wakuu msaada tutani, accelerator kuna kipindi inakwama kukanyagika, hasa baada ya kutoka kukanyagia mwendo kiasi, ukiachia ili upige pulling tena inabaki kwa juu mpaka uipige pige na mguu mara kadhaa. Tatizo ni nini
Back
Top Bottom