Ndugu wanajamvi kama mtakumbuka mapema mwezi Julai niliwasilisha mada au maoni yangu kuhusu Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa Idara ya Uhamiaji. Suala hilo lilipata wachangiaji wengi na hatimaye Wizara husika ikalifanyia kazi na kuufuta usaili huo.
Hoja yangu kuu kwa Katibu Mkuu wa Wizara...
Matokeo ya Usaili wa nafasi za Konstebo wa Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti ya tarehe 23 Julai, 2014 yameonesha kuwa katika Idara hiyo watanzania wengine mbali ya watoto au ndugu wa wafanyakazi wa Idara hiyo hawawezi kupata ajiya ndani ya Idara hiyo ya Serikali. Majina ya wengi walioitwa...
Nachukua nafasi hii kuishukuru sana jamii Forum kwani mwezi uliopita nilituma thread ya Kuchakachuliwa kwa matokeo ya Usaili ya Uhamiaji. Kutokana na habari hiyo wengi wenye sifa sasa tumeanza kuitwa. Kwa hatua hiyo tunashukuru sana kwani kupitia Jamii forum wengi wa waliopelekwa wamebainika...
Hivi karibuni Makao Makuu ya Uhamiaji walifanya usailli wa watumishi wapya, Konstebo na Koplo. Baadhi ya waliochaguliwa hawakufanya usaili baada ya kuonekana kukosa sifa na kuwa na vyeti feki lakini wamechomekwa baada ya kila kichwa kutoa milioni 2 na waliochomekwa ni zaidi ya watu 10. Kibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.