kabis tunazingua kwenye pasipo na haki tulilalamika tunataka kiongozi mwaminifu ata awe dikteta na tumemapata napo twaanza kulalamika jamaani tumuogopeni mngu mwechane magu atunyooshe maana tulikuwa tunapata sawa ila tulikuwa twalisha visivyooshwa
nchi ilikuwa yaenda pabaya zen mnasema tunamkumbuka kwa lipi sasa enzi zile mambo yakutisha mkaitaji raisi mwaminifu na sio mwongo mwongo mmempata sasa mwaanza maneno yaani wabongo wapo kama wana wa israeli enzi za mussa mwasumbua
Ayo maandiko yako ya kinafki wajizuga wew mwandishi kwanza tambua kila mwislamu anajua dini vzur ya kislamu na piah dini ya kislamu inajieleza tofauti na dini zingine na piah Dini ya kislamu ni Ahadi ya mungu na mtu wake Hii dini ajanzishwa kama unavyoanzisha shule hii ni Ahadi ya mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.