Recent content by Mockyglady

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashukuru JF kwa kunipa girlfriend mzuri ambaye siamini nimempata JF

    Yah. Ni weeks tu. Inawezekana. Tena sana.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashukuru JF kwa kunipa girlfriend mzuri ambaye siamini nimempata JF

    Nimejiunga aug 2, nimeanza kuchat nae aug 3, tuko zaidi ya serious. Mungu ni mwema. This is true love. Hamna lisilowezekana kwa mungu. Naishukuru sana JFR.
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashukuru JF kwa kunipa girlfriend mzuri ambaye siamini nimempata JF

    Kweli kabisa. Mwanamke au mwanaume waweza mpata kokote.Inategemea ni wa aina gani umtakae.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashukuru JF kwa kunipa girlfriend mzuri ambaye siamini nimempata JF

    Hongera sana. JFR imenisaidia mimi pia. Niko kwenye process za kulipiwa mahali. Ntarudi kwa mrejesho. Ukiwa serious. Inawezekana. Hongera sana tena sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimewekeza kwenye mitiki inalipa, karibu tuwekeze

    Nitext. Mitiki inahitajika sana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimewekeza kwenye mitiki inalipa, karibu tuwekeze

    Ok Ok. Ntakutafuta.asante sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimewekeza kwenye mitiki inalipa, karibu tuwekeze

    Heka moja ki taalam naweza kupanda miche mingapi
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for male partner 35yrs and above, HIV+

    Kweli kabisa. Then niko sawa sana. Najitambua
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for male partner 35yrs and above, HIV+

    Thank u. I appreciate
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for male partner 35yrs and above, HIV+

    Karibu sana. Nimefurahi
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for male partner 35yrs and above, HIV+

    37, Thx
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for male partner 35yrs and above, HIV+

    Mimi ni mama ninaetafuta mwenza wa kuishi nae. Mimi ni mfanyabiashara na mkulima. Nina elimu ya chuo. Ni mcha Mungu. Natafuta mume mwenye mapenzi ya dhati. Sichagui dini,kabila,elimu etc Aliekuwa serious tuwasiliane
Back
Top Bottom