Recent content by mobaby

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

    Nadhani ni simple, hizi ni dini mbili tofauti. Nilidhani dini hizi zinatambua uzuri na ubaya lakini kama zinatofautiana kwenye hilo basi tujue kuna dini inaamini kwenye ubaya na nyingine kwenye uzuri ndio maana zinatofautiana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania LOGIC : Hakuna mtu yeyote aliyepeleka barua polisi ya kuwajulisha kuwa wataandamana tarehe 9 Dec

    Ndio maana hawakuandamana. Logic imengekuwepo kama wangeandamana. La msingi hapo ni kwamba hatuna budi kusikilizana ili tujenge mardhiano yatakayojenga nchi na si kubomoa
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Rioba wa TBC awajia juu wanaodai uwajibikaji wa watendaji wa serikali. Asema tusijidanganye kwamba 29 Oktoba kulikuwa tu na mauaji ya raia

    Labda ungetuambia adui unayemsema hapo ni nani? usizunguke mbuyu!?
  4. M

    JamiiForums Tanzania SACP Marco Chilya: Padre Nikata hakuwa ametekwa bali alikuwa ‘amejiteka' kutokana na msongo wa mawazo

    Kwanini tusimsikie mwenyewe aliyejiteka!? Waandishi wa habari watafute muda wamuhoji aliyejiteka.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Polepole, lazima utajiuliza Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika nchi vinafanya nini?

    Shida ipo kwa wananchi wenyewe kuliko hata hivo vyombo. Kama hatuwezi kuamka kama nchi hakuna kitakachobadilika.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatupigi kura kidigitali kwamba mtu akiwa na NIDA tayari kapiga kura, tunapiga kura kwenye boksi zinahesabiwa mbele ya mawakala

    Kama unawatukana wananchi kwa kuhoji masuala ya msingi kwa mstakabali aa maisha yao kwa kuwa tumbo lako linashiba basi hewala! ulipaswa uwaeleza wewe si ndio unajua povu la nini?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatupigi kura kidigitali kwamba mtu akiwa na NIDA tayari kapiga kura, tunapiga kura kwenye boksi zinahesabiwa mbele ya mawakala

    Ameomba wataalam wa teknolojia wa upinzani wapewe ruhusa ya kujirizisha.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA linapokuja suala la mashahidi kwenye kesi ya Lissu wanapaniki sana wanatamani wasiwepo, wanaogopa Nini au wanajua?

    Ingekuwa ni kesi unayoshtakiwa wewe singeleta huu uzi hapa Kama kweli unafuatilia hii kesi usingeuliza hilo swali hapa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wa vituko: Salum Mwalimu wa ubwabwa kushindana na Rais Samia

    Jamii ya inatengenezwa kama binadamu ukimuweka kwenye kona akakosa cha kujitetea atatoka kwenye ubinadamu wake. Tujiulize hii tabia imesababishwa na nini!? Kwani kama unaamini ni wachache basi nadhani ni suala muda tu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

    Ningekuwa mimi wala nisingeangaika nae, kweli vita ni vita Muraa!
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Tunaheshimu uamuzi wa Mbowe kukaa kimya

    Kila upande ulitukanwa,hatukatai kuheal,lakini kuna mambo ambayo chama chake kinatendewa hapaswi kunyamaza! Lissu alipiga kelele kipindi Mbowe yupo jela leo Mbowe ameshindwa hata kusema neno moja la likemea. Ni chuki gani hiyo aliyonayo!?
Back
Top Bottom