Recent content by Mnzavaj

  1. M

    JamiiForums Tanzania ESS... E-loan shida ni nini!!?

    Hii NAMI nimekumbana nayo tangu juzi code hazitumwi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi ninaomba msaada, Hivi ukishalipia control number inachukua muda gani mpaka kufungiwa umeme nyumbani? Maana nimelipia control number tangu tarehe 2/6/2021 lakini mpaka Leo sijafungiwa umeme. Nimefuatilia Mara kadhaa lakini majibu yamekuwa hayaniridhishi naambiwa eti mita hazipo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wenye Faida kwa ufugaji Kuku wa Mayai

    Habari, mi naomba kujuzwa na wataalamu,kuhusu namna gani naweza kutambua kifaranga jike na dume wakiwa na umri wa wiki moja?
Back
Top Bottom