Recent content by Mnyilizi Mdeadly

  1. M

    Rais wetu kama umeamua kutumia Kiswahili basi tumia Kiswahili na sio Kiswanglish

    Shida ni nini hapo ndugu? au ndo mihemko ya kutaka uonekane upo? Leo Infatino hujaona ana-mix au kwasababu ni Magufuli? Mbona DJ wenu huwa ana-mix?
  2. M

    Maswali kumi kwa Prof. Kabudi

    Prof.PARAMAGAMBA J.M.KABUDI hakuna alichokosea bali ameelezea uhalisia ulioko kwenye katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.Tulielewe hilo kabla ya kumshambulia kwa maneno maana yeye hajaitunga katiba hiyo ya 1977.
  3. M

    Lipumba, Seif, Mtatiro nani msaliti wa CUF?

    mkalamo HAO WOTE NI WABAGUZI NA WANA UCHU WA MADARAKA.KUMBUKA WALICHOFANYA DHIDI YA MWASISI WA CHAMA HICHO-BENARD MAPALALA MIAKA YA 1990s.
Back
Top Bottom