Gari Kluger new model ya 2012 inauzwa ni namba DEF picha hiyo ni kabla haijawekwa namba bei 60m maongezi yapo dalali hatakiwi ukitaka tuwasiliane ni PM
Nyumba ya vyumba vitatu self contained kimoja ni master bedroom inapangishwa,ipo Usa River karibu na Polisi station . Nyumba ni fully furnished inafaa kwa wageni kutoka nje ya nchi wanaokaa kwa muda Fulani au mtu yeyote. Bei inaanzia U.S. Dollars 600 maongezi yapo dalali hatakiwi.Wasiliana kwa...
Kuna nyumba nzuri sana ya kupangisha Arusha USA river karibu na kituo cha Police USA river. Nyumba Ina vyumba 3 na sebule.Kimoja ni master bedroom. Ina vifaa vya ndani vipya kabisa hajawahi kupanga mtu ndio mpya.Kodi kwa mwezi USD 650 maongezi yapo tena mazuri sana na dalali hatakiwi piga 0752...
Kuna nyumba USA River karibu na Kituo cha Police USA River kama kuna anayetaka kupangisha apige simu 0752488588 dalali hahitajiki,nyumba Ina furniture ndani bei nzuri ni self contained master bed room na two rooms

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.