Recent content by mnyangara jr

  1. mnyangara jr

    kwa wanafunzi kuhusu ku-Confim.

    Sasa kwa mujibu Wa hiyo barua inasema second round itatangazwa sasa mbona kunavyuo visha ruhisu nawatu washa apply sijui inakuaje hapo
  2. mnyangara jr

    University selection

    Ila kuna Bach yapili watatoa maana kuna wengine profile zao wameandikiwa subili udahili una endelea au hii imekaaje?
  3. mnyangara jr

    DEADLINE INAFIKA, YAMEBAKI MASAA TAKRIBANI MATANO (5) TCU HAMJANITUMIA CODES.

    Naomba niulize sua wametoa majina ya walio chaguliwa ila najina langu silion ila still kwenye profile wameandika subili udahili unaendelea apo ndo pananipa shida msaada wakuu tafadhar. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mnyangara jr

    Selection za vyuo vikuu 2018/2019 naTCU

    Pamoja kiongoz Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mnyangara jr

    Selection za vyuo vikuu 2018/2019 naTCU

    Kwenye web yao wanaonesha waliodahiliwa na vyuo zaid yakimoja Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mnyangara jr

    Tatizo la kuumia mishipa kichwani (mishipa ya macho)

    Jaman wenye msaad juu yahili Tafadhali,tusaidiane
  7. mnyangara jr

    Tatizo la kuumia mishipa kichwani (mishipa ya macho)

    Hospital nilieleza wakapima wakasema kunamatatizo ya nguvu za macho,Ku converge rays hua wananipa tu miwan
  8. mnyangara jr

    Tatizo la kuumia mishipa kichwani (mishipa ya macho)

    Wapendwa wanaJF, naomba msaada wenu wadhati nimesumbuliwa Kwa muda mrefu sana natatizo la kichwa kupitia mishipa ya macho,imenibidi niahirishe masomo chuo kikuu,,hua inasumbua haswa naposoma au kuangalia movie ,dalili nyingine nawezapata usingizi Wa ghafla alafu ukawa mzito sana nikishituka...
  9. mnyangara jr

    Kilimo cha kabichi

    Wakuu kwa anaefaham atoe msaada Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
  10. mnyangara jr

    Makopa mhogo

    Unachukua kwa bei gan na upo WAP? Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
  11. mnyangara jr

    Sasa naanza kuonja matunda ya ufugaji samaki

    Hongera mimipia hatupishani sana ki idea ila nmiezi mitatu kazin
  12. mnyangara jr

    Mashine za kukamua mafuta ya alizet

    Ahsante sana wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mnyangara jr

    Mashine za kukamua mafuta ya alizet

    Kiongoz huku wananunua kwa kilo so bei yagunia ukiconvert nikama 24 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mnyangara jr

    Mashine za kukamua mafuta ya alizet

    Asante sana kiongozi jf 4life Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mnyangara jr

    Mashine za kukamua mafuta ya alizet

    Mkuu nicheki kwa 0752557055 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom