Recent content by Mnyandolo

  1. M

    Ili ufanikiwe unahitaji kufeli

    Ni kweli ila tatizo kubwa lipo toka kwenye mifumo ya elimu yetu, unakuta mwanafunzi akifeli mtihani anaonekana hawezi na hana kitu kabisa .Hii inapelekea hata kwenye maisha ya upambanaji kila unapokumbana na vikwazo unajihisi hufai kabisa na huwezi endelea tena kitu ambacho siyo kweli.TUNAHITAJI...
  2. M

    Unaweza kujifunza kitu kupitia mimi

    Kweli kabisa mkuu tatizo moja Ni kwamba watu tunapenda kuishi maisha ya kuigiza na hatuziishi ndoto zetu
  3. M

    Acha kukimbizana na kila fursa inayokuja mbele kabla ya kwanza haijasimama

    Kweli mkuu hili ndio tatizo la tulio wengi na inafika mahali tunabakia kusema biashara hazilipi
  4. M

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Kwa njombe maharage yanastawi zaidi wilaya ya ludewa maeneo ya mavanga,mundindi na amani huko ndio yanalimwa kwa wingi
Back
Top Bottom