Kimtazamo GPA ni kipimo cha uelewa wa mwanafunzi darasani ila ktk suala la ajira ni vizuri content ya mtu ikaangaliwa kwani hizi GPA sa hv znanunuliwa tu!
NAWASILISHA!
ni kweli hata mimi nimewasikia wataalam mbalimbali wa afya wakisema madhara yake ni makubwa sana likiwemo la kupungua nguvu,na kuishiwa nguvu kabsa pia na pre mature ejaculation pamoja na kushindwa kurudia tendo.na matatizo ya kisaikolojia pia hujtokeza.
ni kweli ila tujue kua mfumo na sheria za hapa chuoni UDOM haziruhusu kabisa masuala ya kisiasa kama tunavyo jua chuo hiki kilijengwa na serikali na kwa sasa ni miongoni mwa vyuo vikuu vinavyo dahiri wanafunzi wengi kuliko vyuo vingine hapa tanzania ila suala la muhimu hapa ni kwamba kuwepo...
lowassa tunakubali utendaji wako wa kazi, system ndio ilokufanya uonekane fisadi ila usikate tamaa watanzania tunakuitaji karibu sana shule za kata hali ni mbaya sana, ingawaje wengine tumefika vyuo vikuu kwa kupitia hizo shule ila wadogo zetu bado wanafeli sana. Tunajua lilikuwa ni wazo lako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.