Hiyo 1998 ilinikuta sleepway nlienda kuounga upepo bwana wakaja madigo wa umri wangu na wengine madogo wakochojoa wakabaki na vichupi wanajitupa majini,wanazamia hapa wanabukia mbele wakaanza kuniita oyaaa njoo maji si mengi hapa tumesimama,nkaona maji si mengi na mm ni tall kuzidi wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.