Hivi mbona hamtaki kuelewa, ngoja nikuambie kutu.
Hata wewe na akiliyako hiyohiyi uliokuwanayo ungegombea urais kupitia Ukawa tungekuchagua tunataka kuondoa system inayo fanya kazi kwa mazoeya that's all.
Hata Mboe na Mtei wakihama hatutarudi nyuma.
Maamuzi ya mabadiliko yana fanywa na...
Huyu babu kasha waharibia mbaka ccm, ametaka sifa akapitiliza kuropoka bila mpaka sasa kazi kwake na magamba.
Nime fanya ukaguzi kidogo kwenye njia ya Lowasa kuelekea magogoni nikaiona nyeupepeeeeeeeeeee..
Nakumbuka walimuimbia hiyo akapigwa na mshangao ikabidi aunganenao kupiga makofi. Na hata octoba itakuwa hivyohivyo watalazimika kumpigia makofi baada ya maamuzi ya wengi.
Lowasa hazuiliki.
Ndio ukosawa nikweli kunatatizo ccm.
Ndiomana wanakisarawe wameamua kuiondoa ccm kwa njia yoyote ile hata kwa kingwendu ilimradi tu ccm wang'oke.
"Tafakari"
Dalili za kushindwa, Ukawa tutulize akilizetu dawayao isha chemka tunasubiri kuwanywesha 25 October, tusiige tabia za kijinga tuta fanana nao.
Late us do the right things October.
Watanzania tutamchaguwa lowasa no matter atachafuliwa na magamba kiasigani kwa tuhuma zisizo na udhibitisho.
Atakuwa rais wa Tanzania na atashirikiana na Ukawa kuvunja mfumo wa kulindana kuanzia serikalini hadi bungeni kwenye ndiooooooooooo...
Huyo slaa kamaunampenda mchukue ukanywe nae chai.
Huyu mzee amejitia aibu sana, alisema anaachana na siasa alafu hapohapo anasema eti bado anasilaha kwamaana ya""siri aliyo hifadhi dhidi ya anaye mtuhumu"" nyingine kazihifadhi anasubiri ajibiwe iliaendelee kuzitoa hizo silahazake.
Sasa anataka kubishana na wanasiasa akiwa kama nani? Kama raiya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.