Recent content by mnoko mmoko

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Tabata Shule

    Laki tatu tu.! Inaanzia miezi sita... Unakaribishwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Tabata Shule

    Nyumba inapangishwa Tabata shule karibu na mahitaji muhimu ya jamii kama hospital shule ya msingi na secondary kituo cha polisi. Umbali wa hatua kumi kufika kituo cha Tabata Shule. Nyumba inajitegeme vyumba viwili na sebule choo na jiko ndani ya fens na parking. Dalali haitajiki. Call me...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

    Kama mimi ni fundi na nimejiajili hivyo. Siwezi kutembea bila beg coz nina mavitu kibao achana kabisa na laptop tolls database kebo na vingingine vingi cd wallet some time ukibeba mgongoni inakua rahisi ila ukibeba mkononi unaweza uka base upandw mmoja
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji used mashine ya kufulia pamoja digital printing t shirt machine

    Plz jamaa yangu nitafutee mimi nashida na mashine ya tshirt
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tunaprint t-shirt kwa bei na fuu karibuni.

    Ok ni hivi cost zetu zinategea wewe mahitaji yako ila tunabei nafuu sana pia tunauwezo wa kudizain bitu kama kanga na vitenge kwa ajiri ya shughuli maalumu. Email. Jahimmbangwa@gmail.com karibu au ni pm uniambie bizaa zako na mahitaji yako ili tujue sisi tunafanyaje ndio tukupe coast...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tunaprint t-shirt kwa bei na fuu karibuni.

    Habari wana jf.... Mimi ni kijana mwenzenu mwenye taaruma ya kuprint t-shirt cap na mabango pia tume base kwenye utengenezaji mzuri wa LOGO kwa ajiri ya mavazi textile art&logo tunawakaribisha taasisi mbali mbali kwenye huduma zetu. Tupo tabata. 0713935738 Karibuni wadau wa ma office...
Back
Top Bottom