Recent content by MNJONJO 10

  1. M

    JamiiForums Kipi bora kati ya Quality assuarance na Physical Education?

    Nina mdogo wangu ana degree ya Ualimu na ni mwajiriwa Tanga. Kwa sasa anataka kwenda kusoma diploma ya quality assuarer au physical education. Je, kipi Bora na chenye tija Kati ya hiv vitu viwili?
  2. M

    JamiiForums Naomba ushauri katika hili

    Wakuu kwema humu? Nina ndugu yangu ana shahada ya Ualimu na anataka kwenda kusoma diploma ya quality Assurer, je ina faida gani Kwa huyu Kijana?
Back
Top Bottom