Recent content by Mniko Chacha

  1. M

    Wakuu wa wilaya za Nyamagana na Ilemela watimua mbio wakihofia kutwangwa maswali

    Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Marry Tesha na Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Dk. Leonard Masale, wamegoma kuulizwa maswali na waandishi wa Habari baada ya kutoa taarifa ya kuanza kuwaondoa wafanyabiashara mdogo (Machinga) mkoani hapa kuanzia 3 Desemba mwaka huu. Wakuu hao baada ya kumaliza kutoa...
  2. M

    Mkurugenzi Misungwi azomewa kwenye Misiba wa Nyanya wa Janet Magufuli

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, Eliurd Mwaiteleke, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa kwenye msiba wa Nyanya wa mke wa Rais John Maguguli, Janet Magufuli. Tukio hilo lilitikea Jana, baada ya wakati shukurani kuanza kutolewa kwa watu waliofanikisha zoezi la msiba wa...
  3. M

    Aliyempigisha ‘deki’ Mwalimu aigomea CWT

    Ndani ya uongozi wa JPM tutajionea mengi ya kipuuzi
Back
Top Bottom