Recent content by mngoya the great

  1. M

    CUF wakanusha wizi wa fedha. Wadai ni kelele zinazolenga kuwaondoa kwenye mstari...

    Cuf kazi wanayo vita ya ndani kwa ndani itawapoteza kwenye anga za siasa.mtatiro huwezi shindana na lipumba.lipumba na malim seif lazima wakutane ili kumaliza tofauti zao ili cuf wainusuru.
  2. M

    Wizara ya elimu mmeshindwa kutangaza matokeo ya NECTA kidato cha pili 2016?

    Mwaka jana yalitoka mapema kabla ya kufungua shule.pia mwaka juzi yalitoka tulipofugua shule.
  3. M

    Ni fedheha kuwa Mtumishi wa umma ngazi ya chini.

    Huyu kisandu ndiyo alikuwa nccr mageuzi si alikuwa cheo kikubwa.ilikuwa vp deo tena?
  4. M

    Matokeo ya Kidato cha pili yametoka?

    Wiki hii wanaweza kuyatangaza kwani mchakato wake umeishakamilika.punguza presha bwana mdogo.
Back
Top Bottom