Recent content by Mnetukwetu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msada wa Academic Research.

    Pm una maanisha nini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msada wa Academic Research.

    Content yake haifai kwa master level.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msada wa Academic Research.

    Research title: Experiment investigation on performance of dump load oil heating system.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msada wa Academic Research.

    Asante. Nitakutumia kupitia email yako mkubwa!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani kuchanganya Kuku wa kroila na aina nyingine za kuku?

    Nataka kuingia kuanza ufugaji wa Kuku aina ya kroila ila tayari nina Kuku wa kienyeji kama 15 na kanga 22.Swali 1. Kuna madhara gani ya kuchanganya Kuku wa kroila na wa kienyeji? 2. Kuna mafhara ya kuchanhanya kanga na Kuku? 3. Hatua za kufuata Kama zipo. Majibu kwa wataalamu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msada wa Academic Research.

    Mie mwanafunzi wa Master niko kwenye hatua ya kuandika research proposal ila changamoto ninayoipata ni namna ya kupata relevant literature review! Ninahisi labda sina searching skills. Nimetumia Google Scholar, elsever journal n.k lakin hazinipi majibu sahihi. Naomba Masada wa link mbalimbali.
Back
Top Bottom