Msada wa Academic Research.

Mnetukwetu

Member
Dec 1, 2018
7
0
Mie mwanafunzi wa Master niko kwenye hatua ya kuandika research proposal ila changamoto ninayoipata ni namna ya kupata relevant literature review! Ninahisi labda sina searching skills. Nimetumia Google Scholar, elsever journal n.k lakin hazinipi majibu sahihi. Naomba Masada wa link mbalimbali.
 
Soma vitabu
 
Ungeweka eneo la utafiti huenda ingesaidia wadau kukushauri Journal zinazoweza kukusaidia

Ila jitahidi kuserch kulingana na topic unayofanya utafiti naamini utafanikiwa mkuu Kila la heri
 
Nitumie topic yako kwenye pm.
 
Research title: Experiment investigation on performance of dump load oil heating system.
Ungeweka eneo la utafiti huenda ingesaidia wadau kukushauri Journal zinazoweza kukusaidia

Ila jitahidi kuserch kulingana na topic unayofanya utafiti naamini utafanikiwa mkuu Kila la heri
 
Nenda kwa librarian wako chuoni akufundishe mbinu (skills) za ku-search literature, wao wako vizuri sana kwenye hili.

Mie mwanafunzi wa Master niko kwenye hatua ya kuandika research proposal ila changamoto ninayoipata ni namna ya kupata relevant literature review! Ninahisi labda sina searching skills. Nimetumia Google Scholar, elsever journal n.k lakin hazinipi majibu sahihi. Naomba Masada wa link mbalimbali.
 
Kuna piracy sites nyingi Sana tu za kuaccess almost all journals and articles in the world ikiwepo moja inaitwa "Libgen" ya ki-russia. Hebu waulize wenzako watakusaidia kukupa details
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom