Naamini ipo siku ukombozi utapatikana tu hao ccm wametaharuki kuona wanazidi kunuka shomba wakati umebaki mwaka mmoja tu waje kupiga magoti kuomba kura kwetu ile hali wanaharufu mbaya hapa hakuna mjinga tena! Songa mbele CHADEMA msife moyo kama alitukanwa mwana wa MUNGU sembuse ninyi
Wa mwaga damu ni ninyi na polisi wenu mtu akidai hakiyake mnadai hana heshima na huo ndio mwanzo2 chukueni pesa zetu kupitia laini zetu ila 2015 mtatoka2
Sometimes unapaswa utengane na mafisadi wasiolitakia mema Taifa hili waliojaa dhuluma, ubinafsi na choyo wauza sumu za maisha kwa ajili ya ukombozi wa Taifa lako huenda unaneemeka na huo upuuzi wa twawala ko ni haki yako kusema hivyo
Huyo dogo katolewa kafara tu kwa uleule mziki waliozoea kuucheza wa watanzania kuwa na fikra changa wajitazame unapopanda mbegu mmea unaendelea kukua na kukomaa haupendi kuwa mchanga daima.:A S-fire1:
Kumbuka unapopambana na mtu naye anajipanga kupambana nawewe mshindi nani inategemea na maandalizi yenu kwa ufinyu wako wa fikra umeona utumie matusi kama silaha yako pole sana kwani unamilikiwa na kushindwa. Kajipange upya kwa kujifunza hesabu za kutoa ukifikiria wapi ulikotoka, ulipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.