Recent content by MNENGERE

  1. MNENGERE

    Tanzania ivunje uhusiano wa kibalozi na Uingereza na Marekani, mabalozi wapewe saa 24 waondoke. Wanaingilia mambo ya ndani ya nchi yetu

    Hivi ulie andika haya ulijitakari kwanza. Wapo watu anadhani kwa tu ni watanzania nchi nyingine haina wajibu wa kulinda watanzania. Unafahamu kuhusu Tamko la Haki za Binadamu( Human Rights Declarations) na wajibu wa kila mwanachama? Wewe ndio wale ambao hamjali malezi kwa mtoto wa jirani kwa...
  2. MNENGERE

    Maxence Melo atoa ya moyoni kuhusu kutekwa kwa Mdude Nyagali!

    Jeshi la polisi linakimbia wajibu wake wa ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Kama sio jeshi la Polisi kutuambia ni wapi alipo Mdude, ni chombo gani kingine ambacho kina wajibu huo? Ninashangaa viongozi wa jeshi la polisi wanaposema hawahusiki ila hawasemi wanafanya nini kwa sasa. Huenda...
  3. MNENGERE

    Makonda alipanga kuvuruga shughuli ya Joketi

    Zero unamwalikaje kutokomeza Zero. Ndio zero zilivyo
  4. MNENGERE

    Rais Magufuli: Diwani Athumani si tu ni Polisi bali ni Afisa wa Usalama wa Taifa

    Haikuwa sahihi kutaja cheo chake, maana kazi yake kama TISS sio security ila intelligence, kwenye intelligensia sio vyema watu kujulikana ila ulinzi (security kujulikana sio mbaya.
  5. MNENGERE

    Kanisa Katoliki jimbo la Songea yalaani maagizo ya Serikali kulitaka kanisa hilo kulipa kodi kwa vituo vya kulelea watoto yatima na wasiojiweza

    Wangapi hapa wanakimbia hata kulea watoto na kuamua kuwachia aidha walezi au wake zao au mama zao walee watoto. au hata wagonjwa. Tuwe na shukrani kwa Mungu kwa kazi nzuri inayofanywa na kanisa pamoja na taasisi zote za dini hata kama kuna mapungufu tujitahidi kuyarekebisha kwa busara na sio...
  6. MNENGERE

    Kanisa Katoliki jimbo la Songea yalaani maagizo ya Serikali kulitaka kanisa hilo kulipa kodi kwa vituo vya kulelea watoto yatima na wasiojiweza

    Waterloo, umewahi kutoa msaada wowote kwa Mhitaji? Maana unavyosema wanapata hela nyingi lazima nawe mmoja wa wachangiaji ili uone hizo zinavyoingia. Tumeshuhudia jinsi kanisa na Madhehebu ya dini yanavyojitoa kutoa huduma ambazo kwa hakika serikali ndio ingetakiwa iwe inatoa kwani ndie...
  7. MNENGERE

    Machungu unayopata Makonda Msibani Ndio Fundisho Ubaya Haulipi

    Sielewi kwanini anapenda kumsingizia Mungu sana, ina maana yote anayoyasema hapo kapewa kibali, aacha unafiki. atajutia sana. na ipo siku utajuta maana hutakuwa na nafasi tena.
  8. MNENGERE

    Dar: Maduka ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) jana yalivamiwa Polisi, mengine yafungwa

    Ninachokiamini mimi, kuzungukwa na mawaziri wenye Phd katika fani mbalimbali bila uzoefu wa kufanyia kazi fani hizo hakuna ushauri mzuri ambao unaweza ukaupata utokanao na uhalisia. Kinachotokea sasa ni ushauri unaotoka kwa watu ambao wameishi theories maisha yao yote halafu katika uzee wao...
  9. MNENGERE

    Serikali ya Tanzania yaanza kurejesha korosho kwa wakulima

    Aiseee! Kweli nyumba ya Mfalme Juha.
  10. MNENGERE

    Uchaguzi TLS : Wakili Fatma Karume aka Shangazi kutogombea tena Urais Wa TLS

    O Ofisi yake itakuwa wamemkataza asigombee kabisa.
  11. MNENGERE

    Michael Wambura afikishwa Mahakamani Kisutu na kusomewa makosa 17 ikiwemo utakatishaji fedha

    Aachane na soka. mashtaka yatafuwa. ila kuna jambo moja linanitatiza sana kuhusu ofisi ya DPP kwamba how do you charge a person with Money Laundering while you have not proved the predicate offences to money laundering?
  12. MNENGERE

    Kuna umuhimu wa Serikali kuwa makini na huu udharura wa kupigwa risasi cha Tundu Lissu

    Kuna mama mmoja aliwahi niambia kwamba mwanaume pekee aliyebakia Tanzania ni Lissu, nilichukulia mzaha ila sasa naamini ni mwanaume na nusu.
  13. MNENGERE

    Kuna umuhimu wa Serikali kuwa makini na huu udharura wa kupigwa risasi cha Tundu Lissu

    Asante sana IKINGO. Wengi wa watendaji na wanasiasa wanajaribu kufanya "spining" ya hii habari ya Lissu ila inaharibu na kuwafanya wawe katika wakati mgumu maana kila kitu washavuruga, Hope waliotumwa kufanya hili shambulio hawakuwa na "What if" kwenye vichwa vyao. walienda kama ng'ombe...
  14. MNENGERE

    CV ya Balozi Wilson Masilingi

    Hakika, Masilingi alionyesha kupwaya na ilikuwa ni lazima kupwaya maana hata maswali aliyoulizwa na shaka achilia mbali ya Hama Mwamoyo hakuweza kuyajibu ipasavyo. Na watendaji wengi wataendelea kupata shida kwa kuwa wanajaribu kusema uongo ili kumridhisha bwana Mkubwa.
  15. MNENGERE

    Nape Nnauye ajiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Maliasili na Utalii

    Na bado. tutashuhudia mengi.
Back
Top Bottom