Recent content by mneji08

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hedaru: Dkt. Magufuli amuagiza katibu mkuu TAMISEMI apeleke milioni 100 kukarabati kituo cha afya

    Ndugu umeongea sana nmekuelewa hivi kosa la nchi kukosa ndege ni la nani maana tangu mm nazaliwa cjawahiona chama kingine kinakuwa madarakank tofauti na ccm? Hivi Kama sekta ya ndege ilikuwa na upungufu wa kuwa na ndege moja na hatimae shirika la ndege kudhoofika kwa maana hiyo ni lazma utawala...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zile ajira za walimu 13,000 zimeyeyukia wapi?

    Mm nilijua tu kuwa zipo kisiasa zaidi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zile ajira za walimu 13,000 zimeyeyukia wapi?

    Hata wakiziona kuchinjwa kupo pale pale
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha

    Ngoja upgwe tu huna kazi na mifisi zenu hizo hatutaki hujuma hapa
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini wagombea wa CHADEMA ndio wanaongoza kwa kukiuka maadili ya uchaguzi? Ni malezi mabovu ndani ya chama au?

    Vyama vyote ni sawa lkn wasimamizi hakuna haki kabsa Kuna cku mtu alisema chama cha mboye hii c haki kila cku nackia matusi na dhiaka juu ya chadema zikitoka chama tawala ndugu zangu cc ni watz tunapenda haki nahisi tunajua kuwa Bila haki no aman kwahiyo wenye kuongoza nchi wahakikishe hiki kitu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

    [emoji1787][emoji1787] akili ndogo inashindana na akili kubwa [emoji1787][emoji1787] pesa ya serikali au pesa ya raia wa tz y waaribu?
  7. M

    JamiiForums Tanzania The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Was very intelligent person Kwanza alikuwa na idea ya kuunganisha bara la Afrika iwe na rais mmoja na bank ya Afrika
Back
Top Bottom