Recent content by MNEJI MALEGESI

  1. M

    Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

    katiba haina shida hawa chadema ndo wanaovuruga mambo wahache rongorongo huone kama katiba aitapatikana
  2. M

    Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

    chadema, kweli kimefulia,,,,,kama zitto na dr kitila wamekikacha sasa nani kabaki pole ,slaa au mboye wote hawa hawana jipya kwan @ mmoja ana sifa zisizo someka mbele za watanzania
  3. M

    Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

    Kwani chadema ni chama cha kuitawala tanzani? Labda kitatawala wanyama pori ,hata magwanda yao ni ya wanyama pori ,walisha tambua kuwa walisha bolonga kwa watanzania,na ndo wanachangia kuivuruga amani nchini ,na 2015 act-tanzania kitawapiga chini kikishika nafasi ya pili nyuma ya chama kizuri...
Back
Top Bottom