Samahan dokta nasumbuliwa na tatizo la kuumwa kifua kikavu kwa muda mrefu nimeenda hospital wanasema ni dalili za pumu pia Nina tatizo la gall bladder msaada plz
Mimi nilienda jkt mwaka Jana na kuna wenzangu hawakuenda lakin wamepata chuo pamoja na mkopo,,lakin ukienda jeshin kuna faida pia kuna changamoto mbalimbali kwa mfano sisi tulipata shida sana wakat wa kuapply vyuo na weng wetu walikosa vyuo kutokana na kuwa jeshin
Upande mwengine kuna fursa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.