Wanauliza kwanini Waislam hawakimbilii nchi za “kiislam” bali wanaenda nchi za “kikiristo”
Wanapotaka kutaja nchi za Kiislamu kwa lengo la kusukuma ajenda yao hasi, huwa hawataji nchi za Qatar, Malaysia, Tunisia, Kuwait, Saudi Arabia, UAE (Dubai), Brunei, Maldives, Bahrain, Oman, Morocco...