Recent content by mndenge

  1. M

    Nyerere alishiriki Mauaji ya Kassim Hanga?

    Jamani mi nadhani hii post iko straight forward, Hanga ameuawa kwa mikono ya wanasiasa ,viongozi wetu walioaminiwa kuwa wanasimamia haki! aliuawa kwa hisia au njozi zao tu za hofu juu ya marehemu,we kama una hamu ya kuwatukana binamu zangu wazenji watukane lakini ukweli utabaki palepale hakufa...
  2. M

    Wanzibar ni vigeuvigeu?

    Wanapinga udhamini ambapo maana yake ni promosheni ya pombe ktk maeneo yake ambapo ita sababisha kuwa na walevi wengi ktk jamii ya watu wachache na kusababishwa kudhoofika kwa nguvu kazi ,kurutubisha umaskini na utovu wote wa maisha mabovu ndani ya jamii. Na kutoa msaada si promosheni -my views
  3. M

    Hooodi ,hooodi bana wandu!

    Hodi humu ndani,naruhusika kukaa jamvini nami nipate kufua bongo zangu waungwana?
Back
Top Bottom